Hi, I'm Elijah Konzo

I write code. All kinds, but mostly C#. I love tripe soup and I have opinions. Especially about C# and tripe soup. I live in Tanzania, Dar es salaam with my lovely wife and sons.

I have worked at Dayone Softcom Technologies developing different solutions for their clients since 2016. I also develop my own apps like Masafa and contribute to Stack Overflow whenever i have time.

I tweet as @ewkonzo, contribute to open source as @ewkonzo on GitHub, and share photos on Instagram and Facebook. I also like tech news,hear ideas and try technologies

Habari, Mimi ni Eliya Konzo

Ninaandika programu. Kila aina, lakini zaidi C#. Ninapenda supu ya utumbo na nina maoni.          Hasa kuhusu C# na supu ya utumbo. Ninaishi Tanzania, Dar es salaam pamoja mke wangu na vijana wangu.

Nafanya kazi Dayone Softcom Technologies tokea 2016, nikitengeneza aina mbalimbali za programu kwa ajiri ta wateja wao. Natengeneza programu zangu mwenyewe kama Masafa na nachangia kwenye Stack Overflow kila napopata nafasi.

Natuma twitter kama @ewkonzo, nachingia kwenye programu za wazi kama @ewkonzo kwenye GitHub, natuma picha Instagram na Facebook. Ninapenda pia habari za teknolojia, kusikia maoni na kujaribu vitu vipya.